MASWALI KWENYE SURA MBALIMBALI
1. Nini nia ya kazi? Je vifaa vinavyorahisisha kazi ni vizuri au vibaya ?Kwa nini ?Ni nani anayeathiriwa navyo?Je, vifaa vinavyobuniwa hivi vyaweza kukomeshwa vipi?Ni mifani ipi ya tabia hii inayojitokeza? Ni mambo ya kimaadili yanayojitokeza nguvu zinapotumika?
2. Ni vipi ambavyo watu hutunza vitu vilivyo vya wote? Ni nani hasa anayemiliki ziwa na samaki? Ni mambo yapi yanayotokea iwapo ziwa litamilikiwa na mvuvi? Ni nani anayefaidi umilki unapokuwa ni wa pamoa? Toa mifano. Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
3. Ni kwa nini baadhi ya wakulia walipwa ili wasikuze mimea? Ni mambo yapi yanayotokea kwa upnde wa bei na kupatikana kwa chakula kwa nalaji? Ni aina zipi za utegemezi zinazojitokeza? Je, kuna mifano halisi ya tabia kama hii? Ni mambo yapiya kimaadili yanayotokea nguvu inapotumikizwa?
4. Je , ni vema kwa watu kupata mwanga wa bure pamoja na joto kutoka kwa jua? Ni nani anayepiga ? Je, pingamizi kwa nagizagi wa bidhaa kutoka nje zafanana a hizi? Ni kwa nini watu hupinga uagizaji bidhaa? Ni vipi ambavyo watu hukomesha uagizaji wa bidhaa za bei za chini? Toa mifano. Ni mambo yapi ya kimaadili yanayopatikana hapa?
5. Je, ni vema kutumia kodi kulazimisha tabia? Je, watu waweza kuishi kwa namna fulani ili kupunguza kodi? Jemaafisa na watawaliwa ni wapi walio wenye busara na mbeko? Je, ni hatia kwa mtu kuwa mrefu? Toa mifano. Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza katika hadithi hii?
6. Je, kumiliki kitu kilicho bora au kuwa na miliki mashuhuri kuna kasoro gani? Ikiwa afisa aweza kutumia, kusimama , kuchukua, au kuvuruga nyumbaambayo mtu mwingine alijenga , kwa hii ni nani haa anayemiliki nyuma hiyo? Je , kodi ya mali ni kama kodi ya baada ya uda? Mifano ? Ni mambo yapi kimaadili unayoyapata hapa?
7. Ni haki kuwalazimisha watu kulipia bustani ya wanyama? Ni sababu zipi zinazoweza kutolewa ili kutoku
lipia?Ni nini kinachowapata watu anaweza kukataa kulipa ushuru kama huu? Je, watu wanaowaumiza wengine wanapatikana upande upi wa ua? Toa mifano, ni masuala yapi ya kimadili yanayojitokeza hapa?
8. Je ni vema au vibaya kupigisha chapa pesa ? Ni nani anyeamua? Je,kunao ulinganishi baina ya wadanganyifu na wachapishi pesa kirasmi? Ni nani anayelaumiwa kwa kupanda kwa bei? Toa mifano .Ni maswala yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
9. Ni ndoto ya nani has iliyofaulu? Ni kwa nini? Je ,chuma Mpya ambazo zimekuwa za kiviwanda majuzi (NIE) zimefaidika kutokana na madai ya mishahara mikubwa kwingine ?Ni nini kinachowdeza kuwa kibadalia cha pesa rasmi zilizotengenezwa ?Ni nini maana ya "Hakuna kitu kama maukili ya mchana yaliyo ya bure"?
10. Ni nini aina ya hongo zilizo halali ya ni zipi zilizo haramu?Je, wana siasa wanaweza kuwahongakihalali wapigaji kura na vivyo hivyo wapigaji kura waweza kuwahanga kihalali wanasiasa?Ni matatizo yapi yanayofungamanishwa na hongo ?Ni vipi ambavyo madeni ya Baraza yaweza kufananishwa na kuchukua hatua kutoka kwa mtoto?Toa mifano . Ni masuali yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
11. Ni vipi ambavyo makundi mbalimbali ya watu hathiriwa na kubaniwa kwa kodi za nyumba ,sheria za ujenzi , na kuwa na mipaka ya sehemu mbalimbali?Ni vipi ambavyo shughuli za sokoni huadhibu au kuzawadisha shuguli za biashara zilizo nzuri au mbovu? Hali hizi hupinduliwa vipi na kubwana kwa kodi za nyumba ? Toa mifano. Ni masuali yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
12. .Ni maana ya "uhalifu ulipoongezeka "? Ni nini kinachomtendekea mtu anayekataa kushikwa ?Ni vipi ambavyo makundi ya watu huathiriwa tofauti tofauti na sheria za kuwapa leseni wafanya kazi mbalimbali? Je , sheria hutengeza au huvunja ukiritimba? Kwa nini? Taja mifano. Ni masuali yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
13. Ni vipi ambayo utenzi wa vitabu waweza kuwa tendo la propaganda au la uchunguzilizi?Watu wafaa kulazimishwa kuvilipa vitabu wasivyovipenda ?Je , maktaba zaweza kuweka bila hela kutoka kwa ushuru? Ni vipi ambavyo motisha ni tofauti kwa maktaba za sreikali na kibinafsi?
14. Ni matatizo yapi yatokeayo pale ambapo sanaa inagharamiwa na ushuru? Je, utenzi wa sanaa ni wa kiulama ?Je, maafisa waweza kukosa kuwa a mapendeleo katika kugharamia sanaa?Je, sanaa yaweza kustawi bila pesa kutoka kwa ushuru? Ni vipi ambavyo aina ya kugharimia yaathiri tabia za watu ?Toa mifano .Ni mambo yapi ya maadili yanayokwenda na shuguli hii?
15. Jewanyama wa kuwinda wanaoshiriki ni washindi? Ni kwa nini wanaoendesha shughuli za hile banda wamefurahika? Je, watu wafaa kuruhusiwa kushiriki katika sherehe kama hii? Ni vipi ambavyo 'kuanguka kwa vidogo' wa kisiasa kwaweza kulinganishawa na mchezo huu?Toa mifano. Ni mambo yapi ya aadili yanayojitokeza hapa?
16. . Je ,Mjomba samta anatoa kiasi sawasawa na kile anachokichuua? Ni kwa nini watu hawalalamiki anapochukua vitu kutoka nyumbani kwao? Mbona maafisa wakasimamia sherehe za kirasmi? Mienendo ya kirasmi itaathiriwa vipi/ Toa mifano. Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
17. Ni tofauti zipi zinazojitokeza katika jinsi serikali na mashirika ya kibinafsi zinavyo kabidhi barua kwa wenyezo? Ni nanai anayepata faida kutokana na watu kupewa mapendeleo ya ukiritimba? Je, kubanwa kwa ukabidhi wa arua kwaweza kuruhusu kubanwa kwa wananchi? Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
18. Je wateja waridhishwa na mikahawa y kisiasa? Ni vipi ambavyo orodha ya vyakula huafikiwa ?Je, watoto na wapishi hutunzwa vema? Ni kipi ambacho kingetokea au kama chakula cha akilini kingetunzwa kama vile chakula cha tumbuni kinachotunzwa kisiwani hapa? Toa mifano. Ni mambo yapi ya kimadili yanayojitokeza hapa?
19. Ni vipi ambavyo maisha , uhuru na mali vyaweza kuwekwa katika mkabala wa watati? Ni kwa njia gani mwizi aweza kuwa kama au tofauti na mtoza-kodi ? Kwa nini ?Je , usimbeko mdogo na usimbeko iliokithiriwa huchukiliwa tofauti? Toa mifano. Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa.
20. Mbona mchungaji anapuza moja katika ng'ombe-jike zake ili kununua dume? Ni mambo yapi yanayofanana katika serikali zinazopendekezwa? Je, kunayo mifano ya tabia hii hapa ilimwenguni? Ni mambo api ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
21. Je, kunao mfano baina ya watabiri fulani na wana-uchumi fulani?Ni asilimia ngapi ya hawa inayoweza kutabiri yanayotukia hatiaye? Ni vipi ambavyo utatambua hili? Je , kunao wakati ambapo wataalamu wanavitatumia vipawa vyao kwa vitu ambavyo havifai?
22. Kwa nini watu walipwa ili wasizalishe ?Je, utaikubali kazi ambayo itakulipa pesa na kufanya chochote? Je, utaweza kuwalipa wengine wasifanye kazi? Je, utaukubali utunzi ambao utakulipa usifanye kitu? Je, kunayo mifano kama hii ilimwenguni? Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
23. Kuna mantiri gani katika kuyakinisha beko , nguvu, utajiri, na haki kwa vifijo vyenye kuonyesha furaha ? Je, yawezakana kuyakunisha mambo haya kwa kujua idadi ya kura? Ni njia ipi nzuri zaidi ya kuyakimisha haya.Toa mifano.Ni mambo yapi ya kimaadili yapatikanayo hapa?
24. Ni kwa nini wapiga kura huwapigia kura watu wanaoshikilia nyadhofa fulani ili waendelee? Je ,wanasiasa waweza kuaminika?Je mtu ambayehapigi kura ana haki gani kulalamikia siasa? Je, kunao usambama wowote baina ya tabia za mchumba aliyenyanyaswa na mpiga kura aliyenyanyaswa? Ni maadili gani yanayopatikana hapa?
25. Kunao uwezo wa wanafunzi kufanya vizuri zaidi endapo alama za wanafunzi waliofeli zitawapewa wale waliopasi nazo za waliopasi zipewe waliofeli ? Je, mifuno ya uchumi yaweza kuwa hivi? Je ,shule huweza kukinzana na ukweli wa maisha katika ulimwengu wa kihalisia? Je ,walimu watakikubali vishawishi vinavyowapewa wanafunzi? Ni mambo gani ya kimaadili unayoyapata hapa?
26. Ni sababu zipi zinazowapelekea watu kutiwa nguvuni kwa kufanya kazi? Kwa nini watu husaidiwa au huumizwa na hali hii?Ni wakati gani ambapo ni haramu kutaka kazi ? Je watu wanaojitolea huvunja sheria ndogo iwezekanavyo ya ijara? Je shule na jela ni mahali pazuri zaidi kwa watu kuliko mahali pa kazi? Ni mambo gani ya kimaadili unayoyapata hapa?
27. Je walinzi wa mipakani wafaa kulaumiwa kwa yale yanayowatendekea wakimbizi wanaofukuzwa ? Kuna tofauti gani baina ya wageni na wageni wapya? Vipi ? Je, yafaa kwa vijana wa kiume kulazimishwa kufanya kazi jeshini? Toa mifano. Ni mambo yapi ya kimaadili Yanayojitokeza hapa?
28. Ni kwa nini mkate unawekwa kwenye kapu? Ni kwa nini mkate unapungua katika kuletwa kwake? Ni matatuzi yapi yanayopendekezwa kutatua tatizo hili la uhaba? Ni tatuzo lipi lifaalo? Hali hii itaathiri vipi tabia za binadamu? Je, kunayo mifano hapa ulimwenguni? Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
29. Je, mtu aweza kumiliki matumizi ya wazo?Je, haki-miliki huwahakikishia waliobuni vifaa kuwa I wao pekee watakaofaidi bakshishi? Ni bakshishi za aina gani zinazowapa motishawatu wanaobuni vifaa? Je , hati-miliki zaweza kuzuia ubunifu au uhuru? Bila hati-miliki ni vipi ambavyo tabia zingibadilika? Toa mifano. Ni masuali gani ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
30. Madaraka ni nini? Je, kuna maadili katika kuyawekea madaraka kiasi? Ni vipii ambavyo tabia hubadilika pale ambapo madaraka hayakuwekewa kiasi? Bidhaa ya umma ni nini na ni nani anyeamua iwe hivyo? Je, bidhaa za umma zaweza kuudhuru umma? Je, serikali huweza kubadilisha wadowezi? Ni mambo yapi ya kimadili yanayojitokeza hapa?
31. Ni nani anayemiliki maisha ? Kunao umuhimu gani katika fulani kuchagua au kumlipa daktari ka huduma zake?Kuna tofauti gani baina ya kutoa leseni na kutoa cheti? Je, ushindani wa moja kwa moja pamoja na upashaji arifa ni muhimu kwa tiba nzuri? Toa mifano? Ni mambo gani ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
32. Je , watu waumizwa ? Nani hasa na kwa nini? Je, sheria inajikunza kuhusu shuguli hizi? Kwa nini ? Nini tofauti baina ya kutokubaliana na tabia na kuiharamisha ?Toa mifano.Ni mambo gani ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
33. Je , ni vema kufanya mambo ambayo yatahatarisha afya au yenye mashaka? Inawajuzu watu kulipia makosa ya wengine ? Ni wakati gani kutokana na makosa ? Je, au hukitaa kujifunza, kutokana na makosa ? Je, maafisi ni wenye busara zaidi kuliko watawaliwa?Toa mifano. Ni mambo gani ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
34. Madaraka ni nini?Je watu wataka kuwa na madaraka? Je ,watu wataka viongozi wawaamulie mambo? Ni sharti utenzi uandamane na uadilifu?Uadilifu ni muhimu?Kwa nini? Toa mifano.Ni mambo gani ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
35. Endapo watu wasio na hatia wanawajibika kulipia msiba wa wengine , hli hii linathirije tabia za wote hao?Ni kwa nini watu waweza kutiwa motisha ya kujifanya walioumia?Hali hii ina atheri gani?Ni wakati gani ambapo uchezaji kamari huruhusiwa na ni wakati gani ambapo hauruhusiwi?Kwa nini Toa mifano. Ni mambo gani ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
36. Ni halali kwa mtu kuchukua kitu cha mwenzake kwa nguvu? Je , ni halali kwa wale walio wengi kuchukua vitu kutoka kwa walio wachache kwa nguvu? Ni mambo yapi ambyo walio wengi waweza kufanya lakini watu binafsi hawaruhusiwi kufanya? Ni vipi ambavyo siasa yaweza kupelekea kuzuka kwa ghasia ? Unayo mifano? Ni mambo yapi ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
37. Ni watu gani wanaoashiriwa na viumbe hawa wafuatao tai, waombaji , matapeli,au wafalume?Ni huduma gani muhimu inayotolewa nao? Je, yafaamamlaka kufuata zile zile za tabia kama ye yote yule katika jamii?
38. Yawezakana ,au yafaa kuwa na jamii isiyotumia nguvu na udanganyifu? Je maono ya kipeo cha hali nzuri ya serikali na watu yaweza kulazimishwa watu ? Je , ni upi mfanyiko wa uvumbuzi katika jamii iliyo huru? Je mwishowaweza kutumiwa kuithibitisha nyenzo ?Je ,una mfano? Ni mamo gani ya kimaadili yanayojitokeza hapa?
© Copyright 2005,
Inter Region Economic Network, Nairobi, Kenya, All Rights Reserved.