Inter Region Economic Network, Nairobi, Kenya  

Home
About IREN
Media & Press
Projects
News & Newsletters
Articles
Events
Resources
Speeches and Publications
Student Outreach
Contact IREN

SHUKURANI NA MAELEZO, MASHIRIKA YALIYOPENDEKEZWA, VITABU VILIVYOPENDEKEZWA KUSOMWA, MATOLEO YA KIMAT


SHUKURANI NA MAELEZO
Ningependa kuwashukuru watu wengi kwa msaada wao kwenye muradi huu.Sam Stom na shirika la Small Business
Hawaii ndio waliochapisha kitabu hiki. Flora Ling alikuwa na mchango mkubwa kwenye uhariri wa kitabu hiki ambapo
alishughulikia mtindo wa uandishi na uwasilishaji wa hadithi kwa jumla .Lucille Schoolland, Nicholai Heering, Fred
James, Harry Harrison, Scott, Kishimori na Stuart Hayashi walitoa usaidizi wa kiuhariri uliokuwa makini sana. Randal
Lavarias ndiye aliyeandaa vielelezo vya sasa. David Friedman na Tiffany Catalfano ndio waliochora picha na michoro ya
kuvutia katika matoleo ya hapo nyuma. Orlando Valdez ndiye aliyejitokeza na matengenezo na kuitoa kazi hii kisanii.
Gerhard “Geo” Olsson alichangia mitazamo mingi ya kifalsafa na kisha kumjulisha Milton Friedman kuhusu kitabu hiki.
Vince Miller na Jim Elwood walikitambuza kitabu hiki ulimwenguni kote; Louk Jongen, Louis van Gils, Reg Jacklin,
Pelle Jensen, Jeff Mallan na kundi la HPU SIFE wamekitambuza sana kitabu hiki kupitia kwa mtandao.
Hurbert na Rita Jongen, Wimmie Albada, na Ton Haggenburg walizalisha toleo la Kiholanzi. Dmitrii Costygin na
William Milonoff walitoa toleo la kwanza katika lugha ya Kirusi na Kenneth DeGraaf na Elena Mamontova ndio
walihusika katika kutolewa tafsiri mpya ya Kirusi. Linda Tjelta, Jon Henrik Gilhus,na Bent Johan Mosfjell ndio
wanaohusika kwenye toleo la lugha ya Kinorweja. Virgis Daukas alishughulikia toleo la Kiluthuani na mara nyingi
hukitumia kitabu hiki kwenye kampi zake za lugha ya Kiingereza akishirikiana na Monika Lukasiewicz na Stephen
Browne. Tomislav Krsmanovic ni shujaa mkuu na mkakamavu wa uhuru na ambaye alishughulikia matoleo katika lugha
za Kiserbia, Kimasedonia, Kikrosha, Kislovenia, Kialbenia na Kiromani. Trifun Dimic alitafsiri na kuchapisha toleo la
Kiromani. Valentina Buxar alitafsiri matoleo yote mawili ya Kiromania, na akishirikiana na Cris Comanescu, ndiye
anayehusika na toleo la pili lililo karibu kuchapishwa katika lugha ya Kiromania.Valdis Bluzma alichapisha toleo la
Kilatvia. Wilson Ling na Carlos Fernando Souto walizalisha toleo la Kireno.Toshio Murata, Yoko Otsuji, Toyoko
Nishimura, Mariko Nakatani, Kayoko Shimpo na Hiroko Takahashi ndio waliohusika katika kuzalisha toleo la Kijapani
cha Nippon Hyoron Sha.Alex Heil aliishughulikia tafsiri ya Kijerumani kwa bidii naye Stephan Kopp akalichapisha toleo
la Kijerumani. Jonas Ekebom, Carl Henningsson, Christer Olsson, na Mats Hinze wote walifanya kazi kwenye tafsiri ya
Kiswidi ambapo naye John-Henri Holmberg anaiandaa aichapishe kama e-piblication. Jan Jacek Szymona, Jacek
Sierpinski, na Andrzej Zwawa walizalisha toleo la lugha ya Kipoli.Andras Szijjarto ndiye aliyehusika kwa toleo la
Kihangari. Judy Nagy alitafsiri na kuchapisha toleo la Kispaniola. Joy-shan Lam ndiye anayehusika sana na kuchapishwa
kwa toleo la Kichina kupitia kwa karida la Hong kong Economic Journal. Toleo la Kialbania lilitayarishwa na Zef Preci,
Kozeta Cuadari , na Auron Pasha . Christina Sakaziro Posegate na Winston Posegate walitayarisha toleo la Kipalauani.
K-mee Jung amekuwa akitafsiri tokelo la Kikorea. Barun Mitra alitafsiri toleo la Kibengali. Louise Zizka alitafsiri toleo la
Kifaransa na kwa usaidizi kutoka kwa Patrick Trepanier na Jacques De Guenin, amekuwa akijitahidi kutafuta
mchapishaji. Aldo Canovari alizalisha toleo la Kitaliano. Josef Sima na Radovan Kacin ndio waliojenga toleo la Kizeki.
Faisal Hassan ametafsiri na kutayarisha nakala ya Kisomali tayari kwa uchapishaji.Andy Nousen ametayarisha toleo la
Kiesperanto. Nellie Manova ametayarisha toleo la lugha ya Kibulgeria. Sieg Pedde alizalisha toleo la CD.
Kunao wengine wengi ambao kwa sasa wanashughulikia matoleo mbalimali ya habari: Susan Wells, Cindy na Mike
Powell, Vanja de Jong, na Tracy Ryan. Doug Thorburn, Danute, Venta na Vytas Barauskas, Lane Yoder, Dick Rowland
na wengine wengi wamekuwa ni wasaidizi wakuu wa fedha kwa ajili ya kuchapisha matoleo ya kimataifa. Wengine
waliochangia muradi huu kupitia kwa ISIL ni :- Mark Adamo, Micharel Beasley, Glenn Boyer, Charles Branz, Rodger
Cosgrove, Jonh Dalhoff, Jean Frissell, Henry Haller III, Thomas HanlinIII, Frank Heemstra, David Hoesly, Douglas
Hoiles, Paul Lundberg, Jim McIntosh, Denise na William Murley, Rodger Norris, Richard Riemann, Jim Rongstad, David
Stiegelmann, Rudy Tietze, Horward Thomson, Susan Wells ,na Louise Ziska. Dale Pratt alitutia moyo kwa vipindi vya
mwanzo mwanzo redioni. Lane Yoder, Nat Mandel ,na Bruce Hobbs walitoa maoni pamoja na usaidizi wa kuvitolesha.
Adam Smith, Frederic Bastiat, Milton, Rose ,na David Friedman, Ayn Rand, Duncan Scott, Dick Randolph, Henry David
Thoreau, Murray Rothbard, Ronald Hamowy, John Goodman, George B.Shaw, Lysander Spooner, Henry Hazlitt, R.W
Grant, Fyodor Dostoyevsky, George Orwell, Jonathan Swift, Lao Tzu, Monty Python, na barua za siri za kueneza habari
afisini zilinitia moyo katika nyingi za fikira zilizomo katika kitabu hiki cha hadithi ya kubuniwa. Nawashukuru kidhati
wazazi wangu pamoja na babu zangu na bibi zangu kwa kukuza maadili yangu ya kibinafsi na kifalsafa –na hususani
mamangu kwa kunitia moyo kila mara.Na namshukuru mke wangu Li kwa uvumilivu, maoni na msaada wake wa
kiufundi katika nyakati ngumu.



• ADVOCATES FOR SELF-GOVERNMENT,
1202 N. Tenessee St Suite 202,Cartersville,
G.A 30120, U.S.A
Simu:770-386-8372; Faksi :770-386-8373,
Mtandao: www.self-gov.org
• CATO INSTITUTE
1000 Massachusetts Ave. N.W.,Washington,D.C.,
20001-5403,U.S.A.
Simu:202-842-0200
Faksi:202-842-3490
Mtandao:www.cato.org
• FOUNDATION FOR ECONOMIC EDUCATION
30 South Broadway, Irvington, NY 10533,U.S.A
Simu: 914-591-7230: Faksi 914-591-8910;
Mtandao:[email protected]
• FREEDOMS FOUNDATION AT VALLEY FORGE
1601 Valley Forge,
Valley Forge, PA 19482, USA
Simu:610-933-8825 Faksi:610-935-0522
Mtandao:www.ffvf.org
• FUTURE OF FREEDOM FOUNDATION
11350 Random Hills Road,Suite 800, Fairfax VA 22030 USA
Simu:703-934-6101
Faksi:703-352-8678
Mtandao:www.fff.org
• INSTITUTE FOR HUMANE STUDIES
George Mason University, 3401 N. Fairfax Drive, Arlington,
VA 22201-4432, U.S.A
Simu: 703-993-4880,au 800-697-8799
Faksi:703-993-4890
Mtandao :www.TheIHS.org
• INTERNATIONAL SOCIETY FOR INDIVIDUAL LIBERTY,
836-B Southampton Rd. Suite 299, Benicia , CA,94510,U.S.A,
Simu:415-864-0952, Faksi: 415-864-7506,
Mtandao:www.isil.org
• LAISSEZ FAIRE BOOKS,
942 Howard St. , San Fransisco, CA 94103, U.S.A
Simu: 415-541-9780, Simu bila kulipia :800-326-0996,
Faksi: 415-541-0597, Mtandao: www.laissezfaire.org
• LIBERTY MAGAZINE AND FOUNDATION
1018 Water St., Suite 201, Port Townsend, WA 98368,
Barua-pepe : [email protected]
/
• LUDWIG VON MISES INSTITUTE
518 W. Magnolia Avenue, Auburn ,Alabama 36832-4528
Simu:334-321-2100,Faksi: 334-321-2119,
Mtandao: www.mises.org
• THE OBJECTIVIST CENTER
11 Raymond Ave., Suite 31, Poughkeepsie, NY 12603
Simu: 914-471-6100, Faksi: 914-471-6195,
Barua-pepe: [email protected]
• REASON MAGAZINE AND FOUNDATION
3445 S.Sepulveda Blvd., Suite 400, Los Angeles, CA,
90034, U.S.A
Simu:310-391-2245
Faksi:310-391-4395
Mtandao:www.reason.org
• STOSSEL IN THE CLASSROOM
THE PALMER R. CHITESTER FUND,
9008 Main Place, Suite #3 , McKean, PA,16426
Simu: 888-242-0563, Faksi :814-476-1283,
Mtandao:www.prcfund.org/stossel/
• INTER REGION ECONOMIC NETWORK (IREN KENYA)
Box 135 code 00100
Nairobi, Kenya
Barua-pepe :[email protected]
Mtandao: www.irenkenya.org
• MACKINAC CENTER FOR PUBLIC POLICY
140 West Main Street P.O.Box 568.Midland, Michigan 48640
Simu:(517) 631-0900
Faksi:(517) 631-0964
Mtandao:www.Mackinac.org

VITABU VILIVYOPENDEKEZWA KUSOMWA
Bastiat, Frederic, The Law
Burris, Allan, A Liberty Primer
Friedman, David, The Machinery of Freedom
Friedman , Milton & Rose, Free to Choose
Grant,R.W., The Incredible Bread Machine
Hazlitt, Henry , Economics in One Lesson
Rand ,Ayn, Atlas Shrugged
Rothbard, Murray , For a new Liberty
Ruwart, Mary, Healing Our World
Tannehill, Linda na Morris, The Market for Liberty
Thoreau, Henry David, On the Duty of Civil Disobedience.
Ili kuweza kupata nakala zaidi za kitabu hiki ,wasiliana na
JAMES S SHIKWATI
P.O BOX NUMBER 135, NAIROBI,
00100 GPO-KENYA
Simu:0733-823062 au 02-723258
Barua-pepe :[email protected]


MATOLEO YA KIMATAIFA
Nakala za kitabu hiki zapatikana katika lugha zifuatazo-Kiingereza, Kirusi, Kiholanzi,Kinorweja,
Kiluthuani,Kiromania, Kiserbia, Kikrosha, Kimasedonia, Kislovenia, Kijerumani, Kispaniola, Kipalauani, Kichina,
Kialbenia, Kilatvia, Kireno, Kihangari, Kiitaliano, Kiromeni, Kizechi, Kipoli, na Kijapani.
“Kwa hakika kitabu hiki huwasilisha mafundisho ya kimsingi kuhusu uchumi kwa namna iliyo sahili sana na yenye
kueleweka kirahisi. Ni kazi bunifu iliyo na manufaa.”
-Milton Friedman, Mshindi wa zawadi ya Nobel laurete in Economics.
“Ufahamu wangu wa elimu hapo nyuma ulienda na mabuku makavu , walimu wakali na wasio cheka,
ugumu…..Nimegundua kuwa kitabu hiki ni buku zuri zaidi katika yale niliyo wahi kukumbana nayo…..Nimejifunza
mengi kuhusu masoko-huria, rasilimali za kibinafsi,mtiririko huru wa mawazo, watu na bidhaa ,kuliko nilivyowahi
kufanya nikiwa masomoni mwangu mwote, si tu katika shule ya sekondari bali pia hapa chuo kikuu.”
-Valerija Dasic, Belgrade, Serbia.
“Kitabu kizuri cha kuendeleza mawazo kuhusu soko huria kwa vijana…..”
-Karl Hess, mwandishi wa Capitalism for Kids.
“Kitabu chako ni hekaya iliyobuniwa hasa. Ni Uabunuasi uliojaa wema.”
-Vince Miller, Rais, International Society for Individual Liberty.
“Kitabu hiki ni bora !….Ndani yake niliweza kuona athari za Bastiat, Von Mises, na PatPulsen.”
-Gene Berkman, mwenye kumiliki Reinassance books.
“Mafudisho ya soko huria yaliyojadiliwa humu ni muhimu kwa kila mtu ambaye ana nia ya kuwa katika jamii iliyo
huru.”
-Virginijus Daukas, Rais ,Free Market Foundation, Lithuania.
“Labda hiki ni kitabu, kilichoandikwa kwa uangavu zaidi na kwa hivyo kuna uelezaji wake wa wasia wa kifalsafa
kuhusu uhuru na chumi za soko huria ambazo nilikuwa sijawahi kusoma na ambazo huwa zimepuuzwa sana.”
/
-Nicolai Heering, mwanachama, Libertas Society,Denmark
“……Ni kitabu kinachovutia sana.Huku kizazi cha kisasa cha vijana kikiwa kimevutiwa tena na tena kwenye vitabu
vya mzahamzaha, uchangamfu, na vile vyenye picha za kueleza mambo,mtindo wake ni moja katika njia nzuri zaidi
za kuweza kuendelezea falsafa yetu.”
-Profesa Toshio Murata, Rais ,Yokohoma College of Comerce, na aliyetafsiri Human Action cha Ludwig von Mises,
Japan.
“Chavutia sana!”
-Mats Hinze, aliyeshiriki kuanzisha Tritnaha, Sweden.
“Kitabu hiki chakufanya ucheke lakini chakuacha ukitafakari , ambayo ni moja katika njia zifaazo zaidi zilizobuniwa
….za kuwafanya waelewe mafundisho ya uchumi wa soko huria na jamii huru.”
-Valentina Buxar ,Fundatia Liberala ,Romania.
“Mada za kiitikadi ambazo kwingine zingehitaji vitabu kusomwa na miaka ya kuzijadili zimefafanuliwa katika muda
wa dakika tano. Ninayo mipango ya kupeleka nakala kwa matawi yote ya Free Democrats……”
-John Henrik Gilhus, Katibu wa Kimataifa, Free Democrats, Norway.
“Tulikitumia [kitabu hiki] kusomesha mafundisho ya uhuru.”
-Hurbert Jongen ,Mwenyekiti, Dutch Libertarian Centre, Holland
“Shukrani,shukrani, shukrani kwa kitabu kile cha ajabu! Lilikuwa ni jambo la kufariji kusoma kitabu kilichojaa
mantiki, maburudisho na mafundisho. Hadithi hii yaweza kuwa na mandhari yake katika ulimwengu unaofikirika tu,
lakini hali zinazohusika zakaribiana sana na uhalisia. Kwa mara nyingine tena, shukrani kwa kitabu cha ajabu.!”
-Stuart Hayashi ,1999 Valedictorian, shule ya sekondari ya Mililani High School, Hawaii.
“Nimeshangazwa tu na kitabu chako: Jasira za Jonathan Gullible.Ama kwa kweli kwa kiasi fulani nimeshtushwa pia
na usahihi pamoja na ustadi wako…..Hali hii imenifikirisha kuhusu muda ambao umekuwa nchini Poland!
Haisadikiki wakati nikikisoma kitabu hiki nilifikiri- hii ni kama kurudi nyuma katika historia, kabla ya 1989.”
-Monika Lukasiewicz, Dairekta wa Drama, Liberty English Camp, Warszawa,Poland
MTUNZI
Ken Schoolland kwa sasa ni profesa mshiriki wa uchumi na sayansi ya siasa chuo kikuu cha Hawaii Pacific
University. Kabla ya hapo ,alikuwa Dairekta wa Master of Sciences katika programu ya Japanese Business Studies,
Chuo Kikuu cha Chaminade University of Honolulu na pia mkuu wa Business and Economics Program chuo cha
Hawaii Loa College.
Baada ya kuhitimisha masomo yake ya shahada ya juu chuo kikuu cha Georgetown University, alifanya kazi kama
mwanauchumi wa kimataifa kwenye tume ya U.S International Trade Commiission ,U.S Department of Commerce
,na pia alipewa jukumu la kufanya kazi Office of the Special Representative for Trade Negotiations, kwenye ikulu ya
White House.
Schoolland alitoka uajiri serikalini na kujiunga na nyanja ya elimu, akafundisha biashara na uchumi chuo cha
Sheldon Jackson College huko Alaska. Pia alifundisha chuo kikuu cha Hakodata University huko Japan na kuandika
,Shogun’s Ghost; The Dark Side of Japanese Education, ambacho kimechapishika katika Kiingereza na katika
Kijapani.
Schoolland ni mwanachama w\a Internatioal Society for Individual Liberty na ni mwanachama wa chama cha wasomi
cha Sam Walton Fellow for Students in Free Enterprise.

MATOLEO YA KIMATAIFA
Nakala za kitabu hiki zapatikana katika lugha zifuatazo-Kiingereza, Kirusi, Kiholanzi,Kinorweja,
Kiluthuani,Kiromania, Kiserbia, Kikrosha, Kimasedonia, Kislovenia, Kijerumani, Kispaniola, Kipalauani, Kichina,
Kialbenia, Kilatvia, Kireno, Kihangari, Kiitaliano, Kiromeni, Kizechi, Kipoli, na Kijapani.
“Kwa hakika kitabu hiki huwasilisha mafundisho ya kimsingi kuhusu uchumi kwa namna iliyo sahili sana na yenye
kueleweka kirahisi. Ni kazi bunifu iliyo na manufaa.”
-Milton Friedman, Mshindi wa zawadi ya Nobel laurete in Economics.
“Ufahamu wangu wa elimu hapo nyuma ulienda na mabuku makavu , walimu wakali na wasio cheka,
ugumu…..Nimegundua kuwa kitabu hiki ni buku zuri zaidi katika yale niliyo wahi kukumbana nayo…..Nimejifunza
mengi kuhusu masoko-huria, rasilimali za kibinafsi,mtiririko huru wa mawazo, watu na bidhaa ,kuliko nilivyowahi
kufanya nikiwa masomoni mwangu mwote, si tu katika shule ya sekondari bali pia hapa chuo kikuu.”
-Valerija Dasic, Belgrade, Serbia.
“Kitabu kizuri cha kuendeleza mawazo kuhusu soko huria kwa vijana…..”
-Karl Hess, mwandishi wa Capitalism for Kids.
“Kitabu chako ni hekaya iliyobuniwa hasa. Ni Uabunuasi uliojaa wema.”
-Vince Miller, Rais, International Society for Individual Liberty.
“Kitabu hiki ni bora !….Ndani yake niliweza kuona athari za Bastiat, Von Mises, na PatPulsen.”
-Gene Berkman, mwenye kumiliki Reinassance books.
“Mafudisho ya soko huria yaliyojadiliwa humu ni muhimu kwa kila mtu ambaye ana nia ya kuwa katika jamii iliyo
huru.”
-Virginijus Daukas, Rais ,Free Market Foundation, Lithuania.
“Labda hiki ni kitabu, kilichoandikwa kwa uangavu zaidi na kwa hivyo kuna uelezaji wake wa wasia wa kifalsafa
kuhusu uhuru na chumi za soko huria ambazo nilikuwa sijawahi kusoma na ambazo huwa zimepuuzwa sana.”

MSANII WA PICHA NA MICHORO
Randall Lavarias alizaliwa na kulelewa Waialua,Oahu na ni wa sita katika familia ya watoto saba.Wazazi wake ni
kizazi cha pili cha Wafilipino wenye asili ya Kimarekani. Babake alikuwa ni dereva wa kukokota miwa kwa kiwanda
cha Waialua Sugar Factory naye mamake alifanya kazi Del Monte Cannery. Alipotimiza miaka minne tangu azaliwe,
Randall alianza kuchora ambapo babake, akiwa ni msanii pia, alimtia moyo awe ni msanii wa picha na michoro
iliyoelekeza watu.
Lavarias alisomea usanii katika chuo kikuu cha University of Hawaii pamoja na chuo cha Kapiolani Community
College na akapata shahada ya AS katika sanaa za Biashara kutoka chuo cha Honolulu Community College. Baadaye
alifanya kazi na afisi mbalimbali za serikali zikitoa huduma mbalimbali katika uchoraji picha zikiwemo Commercial
Graphics, Polynesian Prints, na Crazy Shirts.Akiwa msanii aliyefanya kazi apendavyo na apendapo, amezifanya kazi
zake nyingi kwa makampuni ya kutengeneza fulana, vijitabu vyenye maelezo mafupi kuhusu vitu kama vile
matangazo ya biashara , na vitabu vyenye hadithi vitolewavyo mara kwa mara (kama vile magazeti). Kama msanii wa
picha na michoro, nia yake hasa imo katika kujitokeza na michoro ambayo inao uhalisia na inaelezea kile
kinachohitajika kuelezwa.
MCHAPISHAJI
Sam Slom,Rais wa Small Business Hawaii (SBH), shirika lisilo la kutafuta faida 501( c) (6), amejitolea kustawisha
hali ya biashara Hawaii huku akiendeleza, kuelimisha na kuwakilisha kidhati biashara ndogondogo zinazojisimamia
zipatazo zaidi ya 2,500 kote nchini kuanzia 1976, ni mwanauchumi wa kibinafsi anayeshauri mjini Honolulu,
mwalimu wa mambo ya kiuchumi ,na ni rais/mmiliki wa kundi shauri la SMS Consultants. Amenukuliwa katika
machapisho ya kitaifa yakiwemo, Forbes,The Economist, Money,USA Today, The Washington Post, The Wall Street
Journal ,na Investor’s Business Daily.
Mnamo mwaka 1996 alichaguliwa kama mwana-Republican kwenye bunge la State Senate (8th- Waialae Iki,Aina
Haina,Niu, Hawaii Kai), akifanya kazi kama Kiongozi Rasmi wa Upinzani (Minority Floor Leader) na mwanachama
wa kamati zifuatazo:Utunzi wa Biashara na Ulaji,Ustawi wa Kiuchumi,Elimu na Teknolojia, Leba na Mazingira,
Usafirishaji na Masuala baina ya Serikali mbalimbali, Utunzi wa Pamoja wa Muda Mrefu wa Fedha na kamati ya
Pamoja ya Sheria kuhusu Elimu ya Mwanzoni Utotoni na mwenyekiti mshirika wa kundi-teule la bunge
lililoshughulikia Sheria za Biashara Ndogo ndogo. Amechaguliwa tena mwakani 2000 na kuteuliwa kiongozi Rasmi
wa Upinzani kwenye bunge la Senate, ni mwanachama wa kamati zifuatazo :-Mbinu na Mikakati, Majaji, Ustawi wa
Kiuchumi, Utalii na Leba.


© Copyright 2005,
Inter Region Economic Network, Nairobi, Kenya, All Rights Reserved.