The Adventures of Jonathan Gullible | Jasira za Jonathan Gullible: Mtalaa wa Soko Huria
JASIRA ZA JONATHAN GULLIBLE
Mtaala Wa Soko Huria
Na
Ken Schoolland
Available as PDF:
PDF (large file: 88 pages, 540 KB)
Chapter Index
YALIYOMO
1 DHORUBA KALI:Jonathan aabiri baharini ambapo jahazi lake laharibika.
2 WAKOROFI: Jonathan amsaidia mama aliyekuwa matatani.
3 TANZIA YA MAKABWELA:Mvuvi amtambia Jonathan hadithi na kummegea kisehemu cha riziki yake.
4 MAPOLISI WA VYAKULA:Mama na mwanawe watimuliwa nyumbani kwao.
5 MISHUMAA NA MAKOTI:Jonathan ajifunza jinsi ya kulinda kiwanda.
6 KODI YA KIMO:Warefu wafupishwa kwa sheria mpya.
7 MIPANGO ILIYOPANGWA VYEMA ZAIDI:Jonathan ashuhudia ubomoaji wa maskani mazuri.
8 BUSTANI MBILI ZA WANYAMA:Maskani mbili zenye nyua zatatiza imani ya Jonathan kuhusu sheria.
9 UTENGENEZAJI WA PESA:Jonathan afunzwa kupambanua baina ya aina mbili za uchapishaji pesa.
10 MASHINE YA MATAMANIO:Mashine ya kiajabu yasababisha vurugu na kufanya kiwanda kifungwe.
11 UUZAJI WA MAMLAKA:Bibiye Tweed amhimiza Jonathan aingie siasa.
12 FUJO KWENYE MAKAZI:Mwanamke wa makamo aelezea wasiwasi wake kuhusu nyumba za makazi.
13 UHALIFU UNAONGEZEKA:Jonathan afahamikiwa na ukweli mpya kuhusu sheria.
14 MIZOZO YA VITABU:Mwanamme na mwanamke wazozana kuhusu bei za vitabu vya bure.
15 HAMNA KITU: Bahati na sibu yatatua kilinge cha kisanaa.
16 TAMASHA YA NIA MAALUM: Jonathan ahudhuria mchezo unaowafurahisha washindani wote.
17 MJOMBA SAMTA:Jonathan agundua kubadilisha kwa utamaduni wa zamani.
18 MARUDIO YA HADITHI YA SUNGURA NA KOBE:Kigano cha bibi kina kipengele kipya.
19 KUCHUKA KUMENG’ENYA CHAKULA:Jonathan aonywa kuwahusu maafisa wa lishe.
20 NIPE VYA SIKU ZAKO ZILIZOPITA AU MUSTAKABALI WAKO:Mwizi anyakua hela za jonathan na kumpa ushauri.
21 SOKO LA SEREKALI MBALI MBALI:Mfugaji wa ng’ombe wa maziwa afafanua aina mbalimbali za serikali.
22 TAALUMA KONGWE KWA ZOTE DUNIANI:Mgeni ajitolea kumbashiria Jonathan mustakabali wake.
23 UZALISHAJI WENYE TIJA:Mkutano rasmi na waandishi wa habari waainisha mpango mpya wa viatu.
24 KIPIMA SHANGILIO:Mwenyeji kwenye tamasha amhoji afisa-uchaguzi na kiongozi wa chama.
25 MUUMINI WA KWELI:Mpiga kura aliyejitolea afafanua imani yake.
26 KUTEGEMEA UHITAJI:Jonathan ahudhuria mahafali ya shule na mashindano ya vinyume.
27 UJIRA WA DHAMBI: Genge lakumbuka vitendo vilivyoliletea madhara.
28 WAGENI WAPYA: Wafanyikazi wa kigeni wabainishwa na kuregeshwa kwao.
29 UKARIMU AU GHILIBA: Wananchi wakongwe wasikitikia ujanja unaokwenda na kustaafu kwao.
30 WAZO ZURI LA NANI ?: Wanasheria waeleza jinsi ya kupata utajiri kwa kudhibiti matumizi ya mawazo.
31 MASHTAKA: Jonathan ajifunza kuhusu uwajibikaji.
32 MATIBABU POTOVU: Tabibu aeleza umilisi wa maisha.
33 KINYUME: Afisa polisi amhadharia Jonathan kuhusu usimbeko
34 KASUMBA: Jonathan aponea chupuchupu kuanguka mtegoni
35 MDADISI MKUU: Kiongozi mstahiwa aeleza tatizo la kisaikolojia kuhusu uhuru wa wema.
36 SHERIA YA USHINDWA: Jonathan akumbana na pigano na kamari
37 GENGE LA DEMOKRASIA: Mkurupuko wa kutisha mjini wamtorosha Jonathan na Alisa.
38 TAI, WAOMBAJI, MATAPELI NA WAFALME: Jonathan aliyepoteza tumaini apata funzo kuhusu wema.
39 NCHI HURU: Jonathan arejea nyumbani kuendelea na maisha yake ya kawaida.
Epilogue KIMALIZIO
Questions MASWALI KWENYE SURA MBALIMBALI
SHUKURANI
NA MAELEZO
MASHIRIKA YALIYOPENDEKEZWA
VITABU VILIVYOPENDEKEZWA KUSOMWA
© Copyright 2005,
Inter Region Economic Network, Nairobi, Kenya, All Rights Reserved.